Toa kwa Moyo wa Shukrani

Asante kwa kuunga mkono kazi ya Mungu.

Njia za Kutoa

Njia za Kutoa

Sadaka na michango yako inasaidia injili, ujenzi wa makanisa, elimu na huduma kwa wenye uhitaji.

M-Pesa Lipa Namba: — — —
Mixx by Yas / Airtel Money Lipa Namba: — — — / — — —
Benki A/C: — — —

Tumia jina lako na aina ya toleo kama kumbukumbu.

Mfano — itabadilishwa na msimamizi
Njia za Kutoa

Jinsi ya Kulipa — Hatua kwa Hatua

  1. Piga *150*00#
  2. Chagua "Lipa kwa M-Pesa"
  3. Chagua "Weka Lipa Namba" kisha weka namba ya kanisa
  4. Weka kiasi
  5. Weka PIN yako kuthibitisha
*150*00# M-Pesa Lipa Namba itawekwa na msimamizi

Matoleo yako yanafanya nini

“Kila mtu na atoe kama alivyokusudia moyoni mwake; si kwa huzuni wala kwa lazima; maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo wa ukunjufu.” — 2 Wakorintho 9:7

Kueneza Injili na kufungua makanisa mapya

Ufadhili wa wanafunzi wenye uhitaji

Kuhudumia yatima, wajane na wagonjwa

Ujenzi na utunzaji wa majengo ya kanisa

Fungua YouTube